#subscribe on youtube "YOHANEC CHANG'A"
.Baba wasamehe hawa kwa kuwa hawajui walitendalo.
. Mama mtazame mwanao na mwana mtazame mamako.
.Msinililie mimi jililieni ninyi na watoto wenu.
.Eloi Eloi lama sabakthani?
(Mungu wangu Mungu wangu mbona umeniacha?).
.Naona kiu.
.Hakika wewe utakuwa nami leo hii peponi.
.Mikononi mwako baba naiweka roho yangu, imekwisha.
Hapo akakata roho.
Kama umejikumbusha kitu na umeguswa na maneno haya, omba Huruma ya Mungu katika Rosali ya Huruma ya Mungu ya Saa 9 alasiri.
YESU alivyoteseka msalabani kwa ajili ya dhambi zetu.
Comments
Post a Comment