#subscribe on youtube "YOHANEC CHANG'A"
+Sala ya Kufungua Vizingiti katika maisha+.
Vizingiti katika maisha ni hali inayomfanya mtu ashindwe kuishi kwa uhuru wa wana wa Mungu. Vipo vizingiti vya ulevi, uvivu, zinaa, chuki, hasira, moyo mgumu, kukosa moyo wa sala, na magonjwa mengine ya mwili na roho.
SALA
Ee Mungu Baba wa rehema yote na uliye chemichemi ya kila kitu kilicho chema, uwe kimbilio na mlinzi wangu. Nahangaika katika maisha yangu kwani siwez kuendelea mbele kwa sababu ya vizingiti vinavyo nizuia. Vizingiti mbalimbali vimenifanya nikose nguvu ya Kiroho ya kuweza kuishi vema na kukutumainia wewe kikamilifu. Kwa maombezi ya Mt. Ritha wa Kashia aliye Kisima cha miujiza na uponyaji kwa wote wanaomtumainia ondoa vizingiti vinavyonizonga. Nashindwa kukutumikia kikamilifu kwa sababu ya vizingiti hivi Nakuamini wewe uliye Mtakatifu wa Mambo yaliyo shindikana kuwa utafungua vizingiti vyote vinavyo nizingira katika maisha yangu.
Mtakatifu Ritha wa Kashia mfungua vizingiti, uniombee mimi mwanao ili nipate kutoka katika vizingiti vyote. Amina

Comments
Post a Comment