Skip to main content

MAKAMU MWENYEKITI WA CCM TANZANIA BARA PHILIP MANGULA AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU YA CCM TAIFA JIJINI DODOMA.

#subscribe on youtube "YOHANEC CHANG'A"

#chang'a habari.
 MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Tanzania Bara Mhe Philiph Japhet Mangula akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kilichofanyika katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Dodoma leo 30-3-2021, (kulia kwake) Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa  ambae pia ni Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi.(Picha na Ikulu)

WAJUMBE wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa wakisoma makabrasha ya Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, kabla ya kuaza kilichofanyika katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Dodoma kilichoongozwa na Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara Mhe. Philip Japhet Mangula, katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Dodoma leo 30-3-2021.

/RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Mhe.Dkt.Ali Mohamed Shein wakiwa nje ya ukumbi wa Jakaya Kikwete Dodoma, baada ya kumalizika kwa Kikao cha Kamati Kuu ya CCM, kilichofanyika leo Jijini Dodoma
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na  Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ambae pia ni Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdaulla, wakibadilishana mawazo wakiwa nje ya ukumbi wa Jakaya Kikwete Dodoma baada ya kumalizika kwa Kikao cha Kamati Kuu ya CCM kilichofanyika leo 30-3-2021 Dodoma.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, akisoma kabrasha kabla ya kuaza kwa Kikao cha Kamati Kuu ya CCM kilichofanyika katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Dodoma na (kushoto kwake ) Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania ambae pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Mhe. Samia Suluhu Hassan, wakiwa katika ukumbi wa mkutano wa Jakaya Kikwete Dodoma

 

 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dkt.Abdalla Juma Sadala, alipowasili katika viwanja vya ukumbi wa Jakaya Kikwete Dodoma, kuhudhuria Kikao cha Kamati Kuu ya CCM iliofanyika leo 30-3-2021.(Picha na Ikulu)

Comments

Popular posts from this blog

8 Most Beautiful Brazilian Actresses

#subscribe on youtube "YOHANEC CHANG'A" Na Yohanec Chang'a- Iringa Brazilian women are like the sun: bright, positive, and so dang hot. It’s especially evident when you look at the models, actresses, and other juicy celebs. These women have used their immense sexuality and became the standard of beauty for men around the world. Here are the eight most beautiful Brazilian actresses. 1. Vivianne Pasmanter Vivianne’s parents dreamed that their daughter would do ballet professionally, but the girl did not like that idea and instead wished to become an actress. And she did it. Now Pasmanter can, without exaggeration, be called one of the most famous actresses on Brazilian TV series such as “Nuovo Mundo” and “Alén, Luz de Luna.” 2. Christine Fernandes Although Christine was born in Chicago, Illinois, the future actress returned to her parents’ historical homeland in Brazil at the age of three. She came to the film industry from the modeling business and almost immediately s...

Mkuu wa Majeshi asimulia neno la mwisho kuambiwa na JPM ‘sijisikii vizuri” (+video)

SHARE TWEET SHARE SHARE COMMENTS Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania Jenerali Venance Mabeyo amesema Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Samia Suluhu Hassan ataitwa pia Amiri Jeshi Mkuu wa Tanzania na sio Amirat kama ambavyo ilipendekezwa. “Nashukuru Baraza la Kiswahili limerekebisha uendelee kuitwa Amiri Jeshi Mkuu na sio Amirat kama ilivyokuwa inapendekezwa”  Mabeyo Mabeyo ametoa kauli hiyo kwenye Uwanja wa Magufuli Chato leo wakati akitoa salamu kwenye Misa Takatifu ya Mazishi ya Hayati Dr.John Pombe Magufuli. RELATED ITEMS TZA HABARI SHARE TWEET SHARE SHARE COMME

Sala kwa Mama Bikira Maria

#subscribe on youtube "YOHANEC CHANG'A" Sala kwa Mama Bikira Maria. Salamu, Maria, umejaa Neema Bwana yu nawe, umebarikiwa kuliko wanawake wote, na Yesu mzao wa tumbo lako amebarikiwa. Maria Mtakatifu, Mama wa Mungu, utuombee sisi wakosefu, sasa na sasa ya kufa kwetu, Amina. Utuombee kwa mwanao Yesu Kristo. #SalamuMaria #SalaniSilaha