Skip to main content

Posts

KIMATAIFA

BWANA AMEITIKA Kwaya Kuu Mt Cesilia Arusha, Tanzania 480 x 854

Recent posts

Mungu Wangu: Kanisa la Kirastafari.

Kigwangalla: Nitashtaki kwa Mungu

*lackstar tours and safaris.*   4/09/2021 01:00:00 PM     Baada ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Charles Kichere kubainisha matumizi mabaya ya fedha za umma ndani ya Wizara ya Maliasili na Utalii iliyokuwa inaongozwa na Dk Hamisi Kigwangalla, ameibuka kwenye mtandao wa kijamii na kuandika, “nitashtaki kwa Mungu, Wallahi!” Kigwangalla alikuwa waziri katika wizara hiyo kuanzia Oktoba 7, 2017 hadi Novemba 2020 na Rais wa tano, Hayati John Magufuli hakumrudisha katika baraza lake la mawaziri.  Akiwa Waziri, Kigwangalla alianzisha tamasha la urithi pamoja na shindano la kupanda Mlima Kilimanjaro, lengo likiwa ni kuhamasisha utalii nchini sambamba na watu kupanda mlima huo mrefu Afrika. CAG katika ripoti hiyo ameeleza kuwa shindano hilo lilitumia Sh172 milioni zilizotolewa na Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA) kiasi cha Sh114 milioni na Mamlaka ya Hifadhi za Taifa (Tanapa) na kiasi cha Sh57 milioni zilizotolewa na Wakala wa Misitu Tanzania (TFS). Alisema fedha hi

Mfahamu Jonas Savimbi kiundani zaidi

*lackstar tours and safaris.*   Februari 22, 2002 vyombo vingi vya habari duniani kote vilitawaliwa na habari kubwa ya kuuawa kwa mfalme wa pori na mwanaume aliyeisumbua serikali ya Angola kwa zaidi ya miaka 27 akiongoza vita vya msituni dhidi ya vikosi vya serikali. Jonas Malheiro Savimbi, alikuwa mtoto wa pekee kwa baba yake Lote, aliyekuwa mfanyakazi wa reli ya Benguela na mhubiri wa kanisa la Protestanti lililokuwa likifadhiliwa na Wamarekani. Pamoja na baba yake kuwa muumini wa dini kamwe Jonas hakuwa muumini, tangu utoto wake alikuwa mtukutu. Alisoma katika shule za Kiprotestanti na Kikatoliki, lakini akiwa na miaka 24 alipata udhamini wa kwenda kusoma Ureno ambapo alimalizia masomo yake ya sekondari na somo la lazima la siasa huku akishindwa kuanza kwa wakati masomo ya udaktari wa binadamu aliyotakiwa kuyachukua. Mwaka 1966 alianzisha vuguvugu la Unita kama harakati ya kukomboa Angola kutoka ukoloni wa Ureno. Katika nyakati zake za awali, kabla ya kuanzisha Unita, alijiunga na c

Breaking: Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Utalii Tanzania asimamishwa kazi

  Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Damas Ndumbaro amemsimamisha kazi Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Utalii Tanzania (TTB), Devota Mdachi kupisha uchunguzi wa madai ya matumizi mabaya ya fedha na rasilimali katika ofisi yake

Haya Ndiyo Madhara ya Kufanya Mapenzi na Mwanamke aliyopo kwenye Hedhi

*lackstar tours and safaris.*        makala     SPONSORED CONTENT TIMIZA NDOTO ZAKO KWA KUCHEZA CASINO. KUJIANDIKISHA SASA! PariMatch KUJIUNGA PARIMATCH CASINO SASA! ZAIDI YA WACHEZAJI MILIONI MOJA PariMatch 8 CELEBRITIES MADE FAMOUS BY THEIR SIGNATURE BODY PARTS Brainberries THE WORLD’S LARGEST AIRPORT WITH AN AREA OF 700,000 SQUARE METERS Brainberries 10 THINGS THAT HAPPEN TO YOUR BODY WHEN YOU STOP EATING MEAT Herbeauty 15 COUNTRIES WHERE MEN HAVE DIFFICULTIES GETTING MARRIED Herbeauty KIM KARDASHIAN IS OBSESSED WITH KANYE'S NEW COLLECTION Herbeauty YOU MUST LOOK YOUR GORGEOUS-BEST ON THE HAPPIEST DAY OF YOUR LIFE Herbeauty LOOK AT MELANIA TRUMP’S PAST AND WHO SHE WAS WHEN SHE WAS YOUNG Herbeauty TRADITIONAL WEDDING OUTFITS IN DIFFERENT COUNTRIES Brainberries 7 DEEPEST AND DARKEST HOLES ON THE PLANET Brainberries TIGER WOODS' EX WIFE FOUND A NEW LOVE PARTNER Herbeauty 10 THINGS SCIENTIFICALLY PROVEN TO ATTRACT WOMEN Brainberries MARK ZUCKERBERG'S WORST FACEBOOK MESSES Br